Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000 
WAI MAPEMA  NDG MTEJA WANGU HII SI YA KUJIULUZA SANA KAMA AUNA MDA WA KUJA TUMA ELA NIKULIPIE MKATABA UTAUKUTA KWANGU
NI APARTMENT NZUR MNOOOOO 
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE 
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, MPKA 6
YA JUU NDO IPO WAZI INA DRISHA 2 CHUMBANI NA DRISHA 2 SEBLEN
SIFA ZAKE 
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO 
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
CONTACT
0679 956 863 
0696708032



















