Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE KUBWA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 4 VYA KULALA VYENYE MAKABATI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#STORE 
#PUBLICK TOILET 
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
 0655256419




















