Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI NA MPYA YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 10/04/2024
BEI NI 600,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#AIRCONDITION
#CCCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
#GARDEN
#PARKING
โผ๏ธZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 600,000/= X 6
ILIPWE LAKI 6 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐น๐ฟ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
๐ฅBILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 6 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SASA
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
________