Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI SANA MPYA KABISA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU
CHUMBA
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES
GYPSUM
SLIDE WINDOW
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
KODI 250,000/=×6
# Simu 0757 404087