Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO BAJAJ
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ni chumba sebule master bedroom
Ipo kwenye fennsi
Ina mazingira salama sana
Inajitegemea umeme
Maji mna changia
NI DK 15
Kwa miguu kutembeya
____________________________________
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu
(150,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 0625606710