Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 3) KIMARA SUKA
APARTMENT NZURI SANA KUBWA YA FAMILY INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO PUBLIC TOILET
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANAFLOW NDANI
KODI 300000 × 3,4,5,6
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UMBALI KM 1.5
USAFIRI BODABODA 1000 MPAKA NYUMBANI
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300