Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA STOP OVER KODI NI150,000X3X4X5X6๐
UMBALI KUTOKA STENDI KM 2
USAFIR TAX 500๐
BAJAJI 1000๐
KODI LAKI NANUSU 150,000X3X4X5X6๐
SIFA ZANYUMBA
NYUMBA INACHUMBA MASTA SEBLE KUMBWA
NAJIKO LAKE LIPO KWA PEMBENI KIDOGO
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI YANA FLOW NDANI DAWASCO MASAA 24
NYUMBA MPYA FENSI ITAJENGWA NDUGU MTEJA HII NYUMBA GARI HAIFIKI KWENYENYUMBA INAISHIA JIRANI
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG 15000๐
0677370515
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI 1 MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA