Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 MOJA NDIO IPO WAZI KODI 200,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SAID PIA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU WAWILI MMOJA ANASABU MITA YAKE
#JIPSUM TAILZ MADIRISHA YA NYAVU HEWA SAFI
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.