Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
.
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 1,7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
.
USAFIRI BAJAJI 500 TU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 5 UPO NYUMBAN BRBR NI RAFIKI KABISA HASA HASA HIKI KIPINDI CHA MASIKA
.
.
KODI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI
.
.
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENSI
PARKING IPO KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI
NA USALAMA WA UWAKIKA
MWENYENYUMBA HAKAI APO
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
074260844
0657384670
.
DALALI SILAA