Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NOW HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 800000×6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 2 USAFIRI BAJAJI 500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347