Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA 200,000X4X6
=======
VYUMBA 2 VYA KULALA
NA SEBULE KUBWA SANA
Choo ndani (public)
=====
Bei:200,000 kwa mwezi x 6..mpaka 4
======
Inajitegemea umeme na Maji,ndani ya fence parking ipo ya kutosha
======
Umbali KM 3 bajaji zipo
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258