Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


FULL FURNITURE CLASSIC APARTMENT FOR RENT 1,200,000/= TSH PER MONTH
💥APARTMENT HII NZURI YENYE KILA KITU NDANI INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#CCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
BEI NI 1,200,000/= X 3
🏘️ LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI dk 6 kwa miguu
barabara ni lami mpaka getini🏂
💥PIA HUDUMA YA MALAZI KWA SIKU IPO AMBAYO GARAMA YAKE NI SHILINGI LAKI MOJA KWA SIKU (100,000/= TSH PER DAY)
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA📌