Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#APARTMENT FOR RENT AT KIMARA MWISHO
.
.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo ni master bedroom, sebule,dinning room,jiko na choo cha familia
.
.
Bei ni 250,000/=x6
.
.
Kila apartment inajitegemea kwa kila kitu yaani umeme na maji
.
.
Nyumba ipo kimara mwisho umbali wa kilometa moja kutoka morogoro road
.
.
Service charge 10,000/=
.
.
0766808522
0674596521