Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA STOPOVER
——
NYUMBA ZINAPANGISHWA
➖➖➖➖➖➖➖➖
MAHALI:KIMARA STOPOVER 1.7KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
NDANI YA FENCE
➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI:(250,000X6) FIXED
➖➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA CHOONI
WATER RESERVE TANKS
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30.6.2025 KODI HAPA MIEZI 6
PIGA CM. 0781 418 437
0679 956 863
0759151524