Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER KUPELEKWA KUONA ELF 15,000/=
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii haipo kwenye fensi Ira ina Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
Kodi kwa mwezi ni laki mbili tuu/=
(200,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu 0659336751 WSP 0786085637