Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 TUU
KUTO STEND KOROGWE PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIRIPIYA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba ni chumba master bedroom na sebule kubwa piya jiko zuri lipo ndani ni
Nyumba mpya bado
Inajitegemea umeme NA maji
Nyumba hii ipo ndani ya fensi
Ina mazingira salama sana
Rakini fensi yake sio yakuingiza gari
____________________________________
KODI KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI
Kodi kwa mwezi ni laki mbilli nanusu tuu
(250,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL
CALL
CALL
Masele kimara raisi wa madalali kimara
0655256419