Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
AMKA NA HII INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #150K
==
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
====
Kodi 150,000 Kwa mwezi ร 6
==
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Fenced na parking, inajitegemea umeme
==
0679447338
0753454167