Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KIMARA MWISHO YA KUPANGISHA NI CHUMBA SEBLEE CHOO NA JIKO KODI NI LAKI NA ELFU HAMSINI (150,000)KWA MWEZI
........
Seblee
Chumba master bedroom
Jiko
Full tiles
Gypsum board
Aluminium window
Luku yake
Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
Nyumba ipo mazingila mzuri sana
..........
Kodi 150 X 6
Ipo umbali wa 1.6 kilometar to main road usafili upo mwingi wakati wote ukishuka kwny bajaji unatembea Dakika 5
........
Kupelekwa site ni Elfu 15
Kitemo Dalali kimara
Contact
Sms call watsup
#0785889413
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲