Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE IME BAKI 1 TUU
KODI 150,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
NI CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE SAFI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI DAKIKA 10 KWA MGUU
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPOYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637