Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT###500/400K
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
MAHALI ZILIPO = KIMARA MWISHO
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA
MOROGORO ROAD
DAR ES SALAAM
TANZANIA 🇹🇿
----------------
SIFA ZAKE =
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABATI
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
NOTE =
NYUMBA IZI ZIPO HATUA YA MWISHO KUMALIZIKA ZIMEBAKI FINISHING NDOGO NDOGO RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA ZITAKUWA ZIMEKAMILIKA TAREHE 01 /4 /2024
---------------------------
ZIPO APARTMENT ZA AINA TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
JUU GOROFANI =
KODI NI LAKI = 500,000 /=
KWA MWEZI
ZA CHINI ==
KODI NI LAKI 400,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA .
------------------------------------------------------------------
KUONA NYUMBA NI
ELFU 15,000 /=
CONTACT
NO = 0766825473
WHATSAP = 0788410350