Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE KWENYE KOLDO YA KWAKO MWENYEWE USHEI NA MTU
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
_____________________________
NB:HII NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 20/12/2024..KUONA NA KULIPA LUKSA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP:
*CALL:
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________
#0785889413