Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Chumba kikubwa master Sebule na jiko (250,00 × 6) Kimara Korogwe
Luku na meter ya maji DAWASCO INAJITEGEMEA
BEI TSH 250,000 × 6
Nyumba ipo KIMARA KOROGWE km 1.6 KUTOKA KITUO CHA MABASI YA MWENDOKASI
USAFIRI BAJAJ na daladala NAULI TSH 500
Ukishuka dk 2 upo NDANI
IPO NDANI YA FENCE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















