Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15 KUTEMBEA
HII NYUMBA NI MPYAA!! MPYAA!!
HII INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI KODI 100,000 X 6
HAPO UKILIPA UTASUBIRI
UTASUBIRI RANGI TU,
UMME NA MAJI TAYARI
NYUMBA IPO KWENYE FENCE LAKINI FENCE HAILAZI GARI
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258