Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


WAHI MAPEMA APARTMENT KALI SANA 5G+ ZIKO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA IMESHUKA BEI 450K
#SEBELU KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#STORE
#FULL A/C
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#ELETRICK FENCE
#GARDEN SAFI MZINGIRA MAZURI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI BAJAJI 500 UKISHUKA UNA GONGA HODI GETINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUPUNGUA MIEZI
#NOTE KWENDA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
#0754344786
#0652472014