Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT MPYAA KABISA ZINA PANGISHWA
LOCATION: #KIMARA_MWISHO
KODI 150,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 700
BODA 1000
ZIPO NDANI YA FENSI ILA FENSI YAKE HAILAZI GARI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747