Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/= (150,000 X 4)
CALL
0712656027