Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#JIKO ZURI KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI NI DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KWA MKUWA KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI AU TAX DALADALA NAULI 500 TU
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
0715949085
0782838336