Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#170K MALIPO MIEZI X6
LOCATION KIMARA KOLOGWE๐ KWA MKUWA
KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 7 KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBA ๐
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA SANA
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME SABMITA MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI MAZINGIRA MAZURI PARKING KUBWA
KODI 170K MALIPO MIEZI X6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค
##0655256419