Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA
ZINA KUWA TARI TAR 1.2.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Luku yako
Maji yana flow
Full air condition
Free WiFi
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles
Gypsum
Paving block zina wekwa
Parking space kubwa sana
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
PIGA SIMU 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37