Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTI NZURII SANAA ZIKO NDANI YA FENSI MOJA WAPO IPO WAZII
UMEME WAWILI 2 KILANYUMBA INASABUMITA YAKE NA MAJI YANAFLOW NDANI
SIFA ZAKE KODI 150,000X4
>CHUMBA KIKUBWA MASTER
>SEBULEE
>JIKO( KUBWA SANA
>PUBLIC TOILET NJEE
>TAILS,GYPSUM,
>PARKING SPACE KUBWA IMEBAKI MOJA
🛣LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 2 USAFIRI BAJAJI 1000
💰BEI:LAKI 150,000 Miezi X4
SERVICE CHARGE ELFU 15
MTEJA UKIPENDA NYUMBA UNAMLIPA DALALI ELA YA MWEZI MMOJA SIMU 0659336751 WSP 0786085637