Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(350,000X6)KIMARA TEMBONI, KM 2, BARBARA SAFI, BAJAJI ZIPO, BODA 1000
——
APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #350k
====
✔️VYUMBA VIWILI
✔️HAKUNA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️ PUBLIC TOILET NDANI
✔️FENCED
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 2 Bajaji zipo ukishuka unapiga teke mlango bodaboda 1000
==
Ndani ya fence parking IPO
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
Napatikana muda wote karibuni sana wateja