Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA #100,000 × 6
Chumba cha kulala
Choo ndani
Jiko ndani
Maji Free nayanaflow jikoni na chooni
Umeme shared
Bei:100,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km 1 Bajaji zakutosha
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300