Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) KIMARA STOP OVER
NYUMBA KUBWA NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA 300K X 6
ZIPO 3 NDANI YA FENSI MOJA
ILA HII 1 IPO WAZI KWA SASA
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/= × 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI
🎤 IPO WAZI SASA KUONA NDANI RUKSA KABISA MALIPO YANAPOKELEWA NA KUHAMIA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300