Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA MWISHO
*MIEZI 5 ANACHUKUA ILA MTEJA UNATAKIWA KUWEKA AHADI UNA MALIZA LINI MWEZI ULIYO BAKI*
*#APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO UMBALI KM 2 UKISHUKA UNAPIGA TEKE....*
------
Chumba Master
Sebule kubwa
Jiko Kubwa La Makabati
Slide window
Maji yana flow
Luku Yake
A/c ipo
Heat Maji moto
Camer kila kona
Fensi kubwa na Peving Block
Parking space kubwa sana
Bembea ya kuenjoy na mpenzi wako sehem nzur
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×5,6 (akuna punguzo)
----------
*Ipo wazi ya juu*
Contact
*Angalizo;MIEZI PUNGUFU 5 ANACHUKUA ILA UNA WEKA AHADI NYENGINE UNA MALIZA LINI*
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300