Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
SASA IPO WAZI UNALIPA NA KUINGIA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
DAKIKA 5 KWA MGUU
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA MAKABATI
KODI 270,000X4/5/6
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BROCK
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030