Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA HAYA NJOO MTEJA UWEKE BOOKING NYUMBA IZO MPYA ZINAKUWA TAYALI MTU KUHAMIA TAREHE 15/10 /2024
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI LINAWEKWA KABATI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0753 989554
0773700963
======