Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT NI KALI SANA YAANI NI KALI WAHI MAPEMA KAMA HUNA HARAKA INAKUWA WAZI TAREHE 30/04/2025 NJOO ZUWIYA 
#SEBULE KUBWA 
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI PAMOJA NA ELA YA MWEZI MMOJA WA DALALI
0713661530_0783661530




















