Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO (DSM) 🇹🇿
.
📌USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI TSH 700/=
NOHA TSH 700/= BODA BODA ELFU 1000/=
.
⚡CHUMBA MASTER KIKUBWA
⚡SEBLE KUBWA SANA MNO
⚡JIKO KUBWA LA KISASA
⚡MAJI YANA FLOW NDANI
⚡UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
⚡NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
⚡PARKING SPACE IPO KUBWA
.
SERVICE CHARGE 15,000/=
.
KODI NI TSH 200,000/=X"4 "
CONTACT
0742260844
0657384670