Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI vyumba viwilli vya kulala ina pabrck ya ndani na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki mbili
nanusu tuu/= (250,000)
X6
CALL
#0710614924
#0688653940__