Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZULI SANA
NZURI KISASA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA MWISHO
KODI 150.000X6
UMBALI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI1000
UKISHUKA DAKIKA 2 UPO NDANI
SIFA YA NYUMBA
NI CHUMBA MASTER KUBWA NA SEBULE KUBWA
CHOO CHA PUBLIC TOILET KIPO NJE
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA MASAA 24
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ANGALIZO BARABARA YA GARI KWENDA KWENYE NYUMBA KIDOGO KUNA CHANGAMOTO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15.000
NA UKIPENDA NYUMBA BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BARABARA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
What saapp number ⬅️ 0689-547258