Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







250K Γ 6 MASTER MPYA KABISA INAPANGISWA KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI DK 10-12 KUTEMBEA KWA MIGUU
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI KIJIBARAZA CHAKE SAFI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL GARDEN FULL PERVING
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB
NYUMBA HII NI MPYA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 20,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















