Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 4,5,6) KIMARA MWISHO UNAWEZA PITIA KIMARA SUKA
Nyumba nzuri sana inapangishwa 150,000 KIMARA MWISHO
Ina chumba kimoja master
Sebule
Jiko zuri
Public toilet
Maji yanaflow ndani
Luku UNAJITEGEMEA
Malipo kuanzia miezi 4,5,6
Ipo km 2.5 kutoka kituoni mwendokasi
Bajaji zipo 700 kutokea KIMARA MWISHO au KIMARA SUKA
Ukishuka kwenye Bajaji unaingia ndani
SERVICE charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya haraka piga simu
Usitume sms wala Dm maana zitachelewa kujibiwa
0654101710
0787205300