Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
nyumba inapangishwa ipo kimara korogwe usafiri bajaji
ina chumba sebule jiko na choo
inajitegemea umeme na maji dawasa yana flow ndani
kodi 300,000 kwa mwezi mmoja malipo ni miez 6
ipo ndani ya fensi paking ipo
kuona nyumba elfu 20000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37