Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000 x3. 0759151524
——
NIMEISHUSHA BEI SASA 250,000/= X 3
APARTIMENTS INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI, BAJAJI BUKU, BODA 1000
MPAKA NYUMBANI,
MUUNDO WA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO OPEN KICHEN, NA PABLICK TOILET
IPO NDANI YAFENSI FULL PEVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME MAJI
KODI 250,000/=X3
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0759151524
0679956863