Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 220K
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA CHA KULALA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#ELECTRICK FANCE
#PARKNG YA KUTOSHA
#BEI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA DK 6-7 UPO GETINI