Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
300,000 X3
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA KWAMSUGURI
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko ndani
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Fence na parking
Wapangaji Mpo wawili tu kwenye fence
===
Kodi 300,000 Kwa mwezi ร 3
===
Umbali dakika 5 kwamiguu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167