Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️lipia Kodi hata mwezi mmoja
Chumba chenye vitu ndani kinapangishwa (Furnished Master bedroom)
KIMARA KOROGWE
📍 190,000/= ×1
__________________________
🔸 Kitanda na Godoro unavikuta
🔸 Kiti na meza unavikuta
🔸Njoo na Mashuka na begi lako
Chumba master Kizuri
🔹 Umeme BURE
🔹 Maji BURE
🔹 Usafi Wa mazingira BURE
🔹 Slide window
🔹 Mazingira Tulivu sana.
🕓Umbali wa dakika 10-12 tu Kwa miguu
📌: Kinamfaa mtu Bachelor, mpenzi wako kuja mara mojamoja ruksa
__________
📌 *MUHIMU*
#Malipo Ya dalali Nasoni ni Tsh 190,000/= tu
#Gharama ya Kwenda kuona Nyumba ni 15,000/=
CALL
O627977383