Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000 
APARTMENT NZURI MPYA  YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X 6 
 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER KIKUBWA 
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET 
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
FENSI KUBWA HAINA 
PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU  KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8
KWAMIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 0764575774




















