Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HAPA KUNA APATIMENTI MBILI TOFAUTI
ZIPO KIMARA SUKA
UMBALI KM 1
PKPK 1000/
A)
CHUMBA MASTAR NA SEBULE KUBWA SANA
INAJITEGEMEA UMEME
NA MAJI YAPO CHOONI
=====
KODI 150,000/=X4
DALALI 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
B)
CHUMBA SINGO KIZURI
NDANI YA FENSI
UMEME SABMITA
CHOO CHAKO NNJEE
MAJI CHOONI YAPO
===
KODI. 50,000/=X6
KUONA NYUMBA 15,000/=
#0710614924
#0688653940