Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, LUKU SUBMITER
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA 6
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA simu
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
What saapp number 0689-547258